sw_num_text_reg/07/33.txt

1 line
284 B
Plaintext

\v 33 Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mmoja mchanga, mwanakondoo dume mmoja mchanga wa mwaka mmoja. \v 34 Alitoa beberu moja kuwa sadaka ya dhambi. \v 35 Alitoa maksai wawili, kondoo dume watano wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani. Hii ilikuwa sadaka ya Elizuri mwana wa Shedeuri.