sw_num_text_reg/07/30.txt

1 line
456 B
Plaintext

\v 30 Siku ya nne, Elizuri mwana wa shedeuri, kiongozi wa uzao wa Reubeni, alitoa sadaka yake. \v 31 Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzani wa shekeli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa shekeli sabini, kwa kipimo cha shekeli za mahali patakatifu. Vyombo hivi vyote vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kuwa sadaka ya unga. \v 32 Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzani wa shekeli kumi, kilicho jaa ubani.