sw_num_text_reg/07/27.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 27 Alitoa sadaka ya fahari mchanga, kondoo dume mmoja, na mwanakondoo dume mmoja. \v 28 Alitoa beberu mmoja kama sadaka ya dhambi. \v 29 Alitoa makisai wawili, kondoo dume watano, beberu watano, na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja mmoja. kuwa sadaka ya amani. Hii ilikuwa sadaka ya Eliabu mwana Heloni.