sw_num_text_reg/07/20.txt

1 line
415 B
Plaintext

\v 20 Pia alitoa kijiko kimoja cha dhahabu chenye uzito wa shekeli kumi, iliyojaa ubani. \v 21 Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mchanga, kondoo dume mmoja, na mwanakondoo mmoja dume. \v 22 Alitoa beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi. \v 23 Alitoa makisai wawili, Kondoo dume watano, beberu watano, na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja mmoja kuwa sadaka ya amani. Hii ilikuwa sadaka ya Nethaneli mwana wa Zuari.