sw_num_text_reg/07/18.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 18 Siku ya pili, Nethanel mwana wa Zuari, kiongozi wa Isakari, alitoa sadaka yake. \v 19 Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha ya uzito wa shekeli 130 na bakuli moja la fedha lenye uzani wa sheli sabini, kwa kipimo cha mahali patakatifu. Viyombo vyote hivi vilikuwa vimejaa unga mwembamba uliochanganywa na mafuta kwa sadaka ya unga.