sw_num_text_reg/07/10.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 10 Viongozi walitoa bidhaa zao zingine kwa ajili ya kuwekwa wakfu kwa madhabahu katika siku ile ambayo Musa aliitia mafuta madhabahu. Viongozi walitoa sadaka zao mbele ya madhabahu hiyo. \v 11 BWANA akasema na Musa, "kila kiongozi atatoa sadaka kwa siku yake kwa ajili ya kuiweka wakfu madhabahu."