sw_num_text_reg/07/04.txt

1 line
212 B
Plaintext

\v 4 Kisha BWANA akanena na Musa, akamwambia, \v 5 "Uzipokee hizo sadaka kutoka kwao na uzitumie kwa matumizi ya kazi ya hema ya kukutania. Uwape hizo sadaka Walawi, kwa kila mmoja kadri ya uhitaji wa kazi yake."