sw_num_text_reg/03/27.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 27 Koo zifuatazo zinatokana na Kohathi: ukoo wa Waamrami, ukoo wa Waizihari ukoo wa Wahebroni, na ukoo wa Wauzieli. Koo hizi zinatokana na Wakohathi. \v 28 Wanaume 8, 600 wenye umri wa mwezi mmoja au zaidi walihesabiwa ili kulinda vitu vya BWANA. \v 29 Familia ya uzao wa Kohathi watapanga upande wa kusini wa Hema.