sw_num_text_reg/13/13.txt

1 line
294 B
Plaintext

\v 13 kutoka kabila Asheri, Setu mwana wa Mikaili; \v 14 kutoka kabila la Naftali, Nabi mwana wa Vofisi; \v 15 kutoka kabila la Gadi, Geuli mwana wa Machi. \v 16 Haya ndiyo majina ya wanaume ambao Musa aliwatuma kwenda kuipelelza ile nchi. Musa akamwita Hoshea mwana wa Nuni kwa jina la Joshua.