sw_num_text_reg/13/09.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 9 Kutoka kabila la Benjamini, Paliti mwana wa Rafu; \v 10 kutoka kabila ya Zabuloni, Gadieli mwana wa Sodi; \v 11 kutoka kabila la Yusufu (hiyo inamaanisha kutoka kabila la Manase), Gadi mwana wa Susi; \v 12 kutoka kabila la Dani, Amieli mwana wa Gemalili;