sw_num_text_reg/01/36.txt

1 line
249 B
Plaintext

\v 36 Kutoka uzao wa Benjamini yalihesabiwa majina yote ya kila mwanaume mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi na mwenye uwezo wa kwenda vitani, kutoka kwenye hesabu ya ukoo na familia. \v 37 Walihesabiwa wanaume 35, 000 kutoka kabila la Benjamini.