1 line
316 B
Plaintext
1 line
316 B
Plaintext
\v 16 Katika siku kumi na nne, ya mwezi wa kwanza itakuwa Pasaka ya BWANA. \v 17 Katika sku ya kumi na tano ya mwezi huu kutakuwa na sikukuu. Mtakuka mikate isiyo na chachu kwa siku saba. \v 18 Katika siku ya kwanza kutakuwa na kusanyiko takatifu la kumheshimu BWANA. Katika siku hiyo msifanye kazi zenu za kila siku |