sw_num_text_reg/01/38.txt

1 line
239 B
Plaintext

\v 38 Kutoka uzao wa Dani yalihesabiwa majina yote ya kila mwanaume mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi na mwenye uwezo wa kwenda vitani, Kutoka kwenye hesabu ya ukoo na familia. \v 39 Walihesabiwa wanaume 62, 000 kutoka kabila la Dani.