sw_num_text_reg/01/34.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 34 Kutoka uzao wa Manase mwana wa Yusufu yaliheabiwa majina yote ya kila mwanaume mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi na mwenye uwezo wa kwenda vitani, kutoka kwenye hesabu y a ukoo na familia. \v 35 Walihesabiwa wanaume 32, 000 kutoka kabila la Manase.