sw_num_text_reg/26/60.txt

1 line
381 B
Plaintext

\v 60 Kwa Haroni alizaliwa Nadabu na Abihu, Eliazari na Ithamari. \v 61 Nadabu na Abihu walikufa walipotoa sadaka kwa BWANA sadaka ya moto isiyokubalika. \v 62 Waume waliohesabiwa mionigoni mwao walikuwa elfu ishirini na tatu, hawa ni wale wa umri wa mwezi mmoja na zaidi. Lakini hawakuhesabiwa kati ya wazawa wa Israeli kwa sababu hawakupewa urithi miongoni mwa wanana wa Israeli.