sw_num_text_reg/33/05.txt

1 line
273 B
Plaintext

\v 5 Wana wa Israeli walisafiri kutoka Ramesi na kuweka kambi \v 6 Sukothi. Walisafiri toka Sukothi na kuweka kambi Ethamu, mwisho wa nyika. \v 7 Wakasafiri kutoka Ethamu wakarudi mpaka Pi-Hahirothi, ambayo inaikabili Baali Zephoni, ambapo waliweka kambi kuikabili Migidoli