sw_num_text_reg/18/21.txt

1 line
254 B
Plaintext

\v 21 Tazama, Nimewapatia uzao wa Lawi, zaka zote za Israeli kuwa urithi wao kwa sababu ya huduma wanayotoa katika hema ya kukutania. \v 22 Kuanzia sasa, watu wa Israeli wasisoge karibu na hema ya kukutania, la sivyo, watawajibika kwa dhambi hii na kufa.