sw_num_text_reg/18/01.txt

1 line
441 B
Plaintext

\c 18 \v 1 BWANA akamwambia Haroni, "Wewe, wana wako, na uzao wa baba yako mtawajibika kwa dhambi zote zilizotendwa mahali patakatifu. Lakini wewe na wana wako pekee mtawajibika kwa uovu uliofanywa na yeyote mahali pa patakatifu. \v 2 Na ndugu zako nao wa kabila ya Lawi, kabila la ukoo wako, utawaleta pamoja na wewe ili kwamba waweze kuungana na wewe ili wakusaidie wakati wewe na wanao mnapokuwa mnatumikia mbele ya hema ya amri ya agano.