sw_num_text_reg/14/44.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 44 Lakini walithubutu kukwea mlimani; lakini si Musa wala Sanduku la agano la BWANA walio ondoka kambini. \v 45 Kisha Waamaleki walikuja chini, pia wale Wakanaani walioshi kwenye hiyo milima. Wakawavamia Waisreli wakawapiga na kuwaangusha mpaka Horima.