sw_num_text_reg/14/39.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 39 Musa alipowataarifu mambo haya watu wote wa Israeli waliomboleza sana. \v 40 Waliamka asubuhi na mapema wakaenda juu ya mlima na kisha wakasema, "Tazama, tuko hapa, na tutaenda mahali pale ambapo BWANA ametuahidi, kwa kuwa tumetenda dhambi."