sw_num_text_reg/14/34.txt

1 line
381 B
Plaintext

\v 34 Kama vile ilivyo hesabu ya siku ambayo mliipeleleza nchi--siku arobaini, vivyo hivyo mtabeba madhara ya dhambi zenu kwa muda wa miaka arobaini--mwaka mmoja kwa kila siku moja, na mtajua kuwa ni sawa na kuwa adui yangu. \v 35 Mimi BWANA nimesema. Hakika nitafanya hivi kwa kizazi hiki chote kiovu ambacho kimekusanyika kinyume na Mimi. Wao watakatwa kabisa, na watafia hapa.'"