sw_num_text_reg/14/26.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 26 BWANA akanena na Musa na Haroni, akasema, \v 27 "Nitaivumilia jamii ya watu hawa waovu ambao wananinung'unikia mpaka lini? Nimeyasikia malalamiko ya wana wa Israeli dhidi yangu.