sw_num_text_reg/14/20.txt

1 line
312 B
Plaintext

\v 20 BWANA akasema, Nimewasamehe kama ulivyoomba, \v 21 bali kama Niishivyo, na kama vile dunia yote itakavyojazwa na utukufu wangu, \v 22 watu wote walioona utukufu wangu na ishara za nguvu zangu nilizotenda kule Misri na kule jangwani - Lakini bado wamenijaribu mara kumi sasa na hawakuisikiliza sauti yangu.