sw_num_text_reg/14/11.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 11 BWANA akamwambi Musa, "watu hawa watanidharau hadi lini? Wataendelea kutoniamini mpaka lini? lija ya kuwa nimefanya ishara kwa nguvu zangu kati yao? \v 12 Nitawapiga kwa mapigo, na kuwaondolea urithi, na kufanya taifa kubwa kutoka kwenye ukoo wako ambalo litakuwa kubwa na lenye nguvu kuliko wao.