sw_num_text_reg/14/04.txt

1 line
163 B
Plaintext

\v 4 Wakasemezana wao kwa wao, "Na tuchague kiongozi mwingine, turudi Misri." \v 5 Ndipo Musa na Haroni wakalala kifudifudi mbele ya kundi lote la wana wa Israeli.