sw_num_text_reg/14/01.txt

1 line
339 B
Plaintext

\c 14 \v 1 Usiku huo watu wote walilia kwa sauti. \v 2 Watu wote wa Israeli wakamlalamikia Musa na Haroni. Watu wote wakawaambia, "Ni bora kama tungelifia katika nchi ya Misri, au katika hili! \v 3 Kwa nini BWANA alituleta katika nchi hii ili tufe kwa upanga? Wake zetu na watoto wetu watakuwa watumwa wao. Je, si bora kwetu kurudi Misri?"