sw_num_text_reg/04/38.txt

1 line
306 B
Plaintext

\v 38 Uzao wa Gerishoni walihesabiwa kufuata koo na familia za mababu zao, \v 39 kuanzia umri wa miaka thelathini hadi miaka hamsini, kwa kila mmoja aliyetakiwa kuungana na watu wanaotoa huduma kwenye hema ya kukutania. \v 40 Wanaume wote waliohesabiwa kufuata koo na familia za mababu zao walikuwa 2, 630.