sw_num_text_reg/04/37.txt

1 line
185 B
Plaintext

\v 37 Musa na Haroni waliwahesabu wanaume wote kutoka koo na familia za Wakohathi ambao hutumika kwenye hema ya kukutania. Walifanya hivi kwa kumtii BWANA aliyewaagiza kupitia kwa Musa.