sw_num_text_reg/04/33.txt

1 line
153 B
Plaintext

\v 33 Huu ndio utumishi wa koo za uzao wa Merari, ambao wanatakiwa kufanya katika hema ya kukutania, chini ya uongozi wa Ithmari mwana wa Haroni kuhani."