sw_num_text_reg/04/31.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 31 Huu ndio wajibu na kazi yao katika utumishi wao kwenye hema ya kukutania. Watazilinda mbao za maskani, mataluma yake, nguzo na makalishio yake, \v 32 pamoja na nguzo za ua zinazozunguka masikani, makalishio yake, vigingi na kamba zake, na vifaa vingine vya ujenzi. Waorodheshe kwa majina na majukumu yao.