sw_num_text_reg/04/27.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 27 Haroni na wanawe ndio watakaongoza utumishi wa uzao wa Wagerishoni, kwa vitu vyote vile vya kusafirisha, na katika utumishi wao wote. Lazima uwagawie majukumu yao yote. \v 28 Huu ndio utumishi wa koo za uzao wa wana wa Wagerishoni katka hema ya kukutania. Ithamari mwana wa Haroni kuhani atawaongoza katika utumishi.