sw_num_text_reg/04/17.txt

1 line
414 B
Plaintext

\v 17 BWANA akanena na Musa na Haroni. Akasema, \v 18 Usiruhusu kabila la Wakohathi kuondolewa kati ya Walawi. \v 19 Walinde waishi ili wasije wakafa, kwa kufanya hivi. Wanapokuwa wanasogelea \v 20 wasije wakaingia ndani ili kuona eneo takatifu hata kwa kitambo, vinginevyo watakufa. Bali Haroni na wanawe wanaweza kuingia, ndipo Haroni na Wanawe watakapowapangia Wakohathi kazi maalumu ya kufanya, kwa kila mmoj."