sw_num_text_reg/04/09.txt

1 line
397 B
Plaintext

\v 9 Watachukua nguo ya rangi ya samawi na kukifunika kinara, pamoja na taa zake, na koleo zake, na sahani zake na vikombe vyake vya kuwekea mafuta ya taa. \v 10 Wataweka kinara na vifaa vyake vikiwa vimefunikwa kwa ngozi ya pomboo, na wataweka kwenye miti ya kukibebea. \v 11 Watafunika kwa nguo ya samawi katika madhabau ya dhahabu. Wataifunika na ngozi za pomboo, na kuweka ile miti ya kubebea.