sw_num_text_reg/04/05.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 5 Wakati kambi inapojiandaa kusonga mbele, Haroni na wanawe lazima waende hemani, kulishusha pazia linalotenganisha mahali patakatifu na kulifunika sanduku la ushuhuda kwa pazia hilo. Watalifunika hilo sanduku kwa ngozi za pomboo. \v 6 Watatandika juu yake nguo za rangi ya samawi. Watachomeka hiyo miti ya kubebea.