sw_num_text_reg/02/17.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 17 Kifuatacho, ni hema la kukutania kuondoka kambini pamoja na Walawi likiwa katikati ya kambi zote. Lazima waondoke hapo kambini kwa mpangilio huo kama walivyoingia kwenye kambi. Kila mwanaume lazima awe mahali pake kwa kufuata bango lake.