sw_num_text_reg/02/03.txt

1 line
253 B
Plaintext

\v 3 Wale watakaopanga mashariki mwa hema ya kukutania, mahali ambapo jua huonekana wakati wa jua kuchomoza, ni makambi ya Yuda nao watakuwa katika kundi lao. Nashoni mwana wa Aminadabu ni kiongozi wa watu wa Yuda. \v 4 Idadi ya watu wa Yuda ni 74, 600.