sw_num_text_reg/02/01.txt

1 line
190 B
Plaintext

\c 2 \v 1 BWANA akasema na Musa na Haroni tena. Akamwambia, \v 2 Kila mtu atapanga kulingana na mahali pake, pamoja na mabango ya baba zao. Watapanga kuzunguka hema ya kukutania kila upande.