sw_num_text_reg/27/09.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 9 Kama hana binti, basi urithi wake atapewa kaka zake. \v 10 Kama hana kaka zake basi huo urithi watapewa ndugu wa baba yake. \v 11 Kama baba yake hana ndugu, basi huo urithi atapewa ndugu yake wa karibu katika ukoo, na utauchukua kuwa wake. Hii itakuwa sheria iliyoanzishwa kwa amri kwa ajili ya watu wa Israeli kama BWANA akivyoniamuru."