\v 52 BWANA akanena na Musa akamwambia, \v 53 Ile ardhi itagawanywa kati ya wanaume hawa kama urithi wao kwa kufuata idadi ya majina yao.