sw_num_text_reg/26/15.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 15 Koo za uzao wa Gadi zilikuwa hizi: Kwa Zefoni, Ukoo wa Wazefoni, kwa Hagi, ukoo wa Wahagi, kwa Shuni, ukoo wa Washuni, \v 16 kwa Ozini, ukoo wa Waozini, kwa Eri, ukoo wa Waeri, \v 17 kwa Arodi, ukoo wa Waarodi, kwa Areli, ukoo wa Waareli. \v 18 Hizi ndizo koo za uzao wa Gadi, idadi yao walikuwa wanaume 40, 500.