sw_num_text_reg/34/21.txt

1 line
215 B
Plaintext

\v 21 Kutoka kabila la Benjamini, Elidadi mwana wa Kisloni. \v 22 Kiongozi kutoka kabila la uzao wa Dani, Buki mwana wa Jogili. \v 23 Kiongozi kutoka uzao wa Yusufu, kwenye kabila la Manase, Hannieli mwana wa Efodi.