\v 16 BWANA akanena na Musa akasema, \v 17 "Haya ndiyo majina ya watu watakaoigawa ardhi kwa ajili ya urithi wao: Eliazari kuhani na Joshua mwana wa Nuni. \v 18 Mtachagua kiongozi mmoja toka kila kabila ili kuigawa ardhi kwa koo zao.