sw_num_text_reg/34/07.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 7 Mpaka wenu wa kaskazini utaanzia kwenye bahari kuu hadi Mlima Hori, \v 8 kisha kutoka Mlima Hori hadi Lebo Hamathi, kisha Zedadi. \v 9 Mpaka utaendelea hadi Zifroni na kuishia Hazari Enani. Huu ndio utakuwa mpaka wenu wa kaskazini.