sw_num_text_reg/32/08.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 8 Baba zenu walifanya hivyo nilipowatuma kutoka Kadeshi Banea kwenda kuipeleleza ile nchi. \v 9 Walienda mpaka kwenye bonde la Esko waliona ile ardhi kisha wakawafunja moyo watu wa Israeli kwa hiyo wakagoma kuingia kwenye nchi ambayo BWANA alikuwa amewapa.