sw_num_text_reg/27/12.txt

1 line
441 B
Plaintext

\v 12 BWANA alimwamia Musa, "Nenda juu ya mlima Abaraimu na uitazama nchi ambyo nimewapa wana wa Israeli. \v 13 Baada ya kuwa umeiona, pia lazima ufe, kama Haroni kaka yako. \v 14 Hii itatokea kwa sababu ulipinga amri yangu katika jangwa la Sini. Pale ambapo maji yalitoka kwenye mwamba, katika hasira yako ulishindwa kuniheshimu mimi kama mtakatifu mbele ya macho ya watu wote." Haya ni yale maji ya Meriba ya Kadeshi katika jangwa la Sini.