sw_num_text_reg/26/63.txt

1 line
308 B
Plaintext

\v 63 Hawa nadio wale walihesabiwa na Musa na Eliazari kuhani. Waliwahesabu watu wa Israeli katika uwanda wa Moabu karibu na Yorodani kule Yeriko. \v 64 Lakini miongoni mwa hawa hapakuwa na mwanamume aliyehasabiwa na Musa na Haroni kuhani wakati wana wa uzao wa Israeli walipohesabiwa katika jangwa la Sinai.