sw_num_text_reg/26/54.txt

1 line
380 B
Plaintext

\v 54 Kwa zile koo kubwa utawagawia urithi mkubwa, na kwa koo ndogo ndogo utawagawia urithi kidogo. Kwa kila familia utawapa urithi kufuata idadi ya wanaume waliohesabiwa. \v 55 Lakini ardhi itagawiwa kwa kupigiwa kura. Watairithi nchi kama itakavyogawiwa kwa kufuata koo za mababu. \v 56 Urithi huu utagawiwa kufuata koo kubwa na ndogo, watagawiwa kwa kufuata kura zitakavyokuwa.