sw_num_text_reg/26/48.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 48 Koo za uzao wa Naftali zilikuwa zifuatazo: Kwa Jahazeeli, ukoo wa Wajahazeel, kwa Guni, ukoo wa Waguni, \v 49 kwa Jezeri, ukoo wa Wajezeri, kwa Shilemu, ukoo wa Washilemu. \v 50 Hizi ndizo zilizokuwa koo za uzao wa Naftali, idadi yao walikuwa wanaume 45, 000.