sw_num_text_reg/26/44.txt

1 line
351 B
Plaintext

\v 44 Koo za uzao wa Asheri zilikuwa zifuatazo: Kwa Imna, ukoo wa Waimna, kwa Ishvi, ukoo wa Waishivi, kwa Beria, ukoo wa Waberia. \v 45 Uzao wa Beria walikuwa hawa: Kwa Heberi, ukoo wa Waheberi, kwa Malikieli, ukoo wa Wamalikieli. \v 46 Jina la binti wa Asheri lilikuwa Sera. \v 47 Hizi ndizo koo za uzao wa Asheri, idadi yao ilikuwa wanaume 53, 400.