sw_num_text_reg/26/42.txt

1 line
177 B
Plaintext

\v 42 Kooo za uzao wa Dani zilikuwa hizi zifuatazo: Kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu. Hizi ndizo koo za uzao wa Dani. \v 43 Idadi ya koo zote za Washuhamu ilikuwa wanaume 64, 400.